Ziwa Edward

Ziwa Edward au Edward Nyanza ndilo ziwa ndogo katika Maziwa Makuu ya Afrika. Iko katika magharibi Bonde kuu la ufa, katika mpaka kati ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Uganda, na kaskazini mwa pwani yake iko kilometa chache kusini mwa Ikweta. Ziwa hili lilitowa jina lake kutoka kwa mtafiti Henry Morton Stanley kwa heshima ya Mfalme Albert Edward, Mfalme wa Wales.

Historia

Stanley aliona ziwa hili mara ya kwanza katika mwaka wa 1875, na kufikiria ilikuwa sehemu ya Ziwa Albert, aliipatia jina Beatrice Ghuba. Katika Ziara yake ya pili mwaka wa 1888 kupitia 1889, akagundua kuwa yalikuwa maziwa mawili yanayojitegemea, na kulipa jina lake la sasa. Katika miaka ya 1970 na 1980, Uganda na Zaire (Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo) walibadilisha jina na kuliita Ziwa Idi Amin au Ziwa Idi Amin Dada baada ya dikteta wa Uganda Idi Amin. Baada ya kupinduliwa mwaka wa 1979, jina lilibadilishwa hadi Ziwa Edward.

Jiografia

Topography na mifereji

Ziwa Edward liko katika mwinuko wa mita 920, lina urefu wa 77 km na upana wa a 40 km , na linachukua eneo la 2,325 km ² (15 kubwa katika bara). Ziwa hili hulishwa na Nyamugasani, Ishasha, Rutshuru, na Rwindi . humwagia maji yake kaskazini kupitia mto Semliki katika Ziwa Albert. Ziwa George humwaga maji yake kaskazini katika Ziwa Edward kupitia Mtaro wa Kazinga.

Ukuta wa magharibi wa bonde kuu la ufa una urefu hadi wa 2000 m juu ya pwani ya magharibi ya ziwa hili. Pwani za Kusini na mashariki ni tambarae za lava. Milima ya Ruwenzori yako kilomita 20 kaskazini mwa ziwa.

Volkeno

Kanda una ushahidi wa volkeno katika miaka 5000 iliyopita. Maeneo ya Katwe- Kikorongo na Bunyaruguru, pamoja na mashimo na mawe, huwa pande zote mbili za mtaro wa Kazinga Channel katika pwani ya kaskazini-magharibi ya ziwa. Ilidhaniwa kuwa Maziwa George na Edward yalikuwa pamoja kama ziwa kubwa hapo awali lakini mawe moto yenye majimaji yaligawanyisha ziwa hili na kuacha mtaro wa Kazinga kama mabaki ya muungano huo. Kusini, May-ya-Moto volkeno iko kilomita 30 mbali, na volkeno yaNyamuragira katika milima Virunga magharibi iko 80 km kusini, lakini mawe yake yameweza kufuka kwenye ziwahili hapo awali.

Eneo la Katwe-Kikorongo shamba lina mawe na mashimo mengi ya volkeno katika eneo la 30 km na 15 km kati ya maziwa Edward na George, na inajumuisha maziwa saba ya volkeno. Kubwa zaidi ya haya, ni Ziwa lenye urefu wa 2,5-kilometa , liko katika shimo la volkeno 4 km na limetenganishwa na Ziwa Edward na 300 m ya ardhi. Shimo hili la volkeno lina kina cha 100 m , na Ziwa Katwe liko chini ya Ziwa Edward kwa 40 m . Ni ajabu kwamba asili ya volkeno katika eneo hili la kusini-mashariki ya Ruwenzoris haikuwa inajulikana mpaka ilivyoripotiwa na Scott Elliot katika mwaka wa 1894. Stanley alitembelea Ziwa Katwe mwaka wa 1889 na kutambua unyogovu wenye kina kirefu, kiwango cha chumvi katika ziwa, na chemchemi ya maji yenye sulphur karibu, lakini alishindwa kuunganisha hii katika volkeno.

Bunyaruguru upande mwingine wa mtaro wa Kazinga una maziwa takriban 30, mengine makubwa kuliko Katwe.

Makazi

Ziwa Edward iko ndani ya Mbuga wa Wanyama wa Virunga (Kongo) na Mbuga wa Wanyama wa Elizabeth (Uganda) na haina makao ya binadamu katika pwani zake, ila katikaIshango (DRC) katika kaskazini, nyumbani mwa kituo cha mafunzo ya askari wa mbuga . Karibu theluthi mbili ya maji yake yako katika DR Kongo na theluthi moja nchini Uganda. Mbali na Ishango, makazi makuu ya wa Kongo katika kusini ni Vitshumbi, wakati makazi katika Uganda ni Mweya na Katwe katika kaskazini-mashariki, karibu na ziwa la volkeno la jina hilo, ambalo ndilo chanzo kuu cha chumvi nchini Uganda Mweya Safari Lodge ndio makao makuu ya watalii, na kuhudumia Ziwa Edward na Ziwa Katwe. Miji ya karibu ni Kasese nchini Uganda kaskazini-mashariki na Butembo katika DR Kongo, kaskazini-magharibi, ambayo ni karibu 50 km na 150 km mbali.

Mazingira

Ziwa Edward ni nyumbani kwa aina ya samaki wengi, pamoja na wakazi wa Bagrus docmac, Sarotherodon niloticus, Sarotherodon leucostictus, na zaidi ya jamii 50 za Haplochromis na aina zingine za haplochromine, ambazo 8 tu ndizo zinaelezwa kirasmi. Uvuvi ni shughuli muhimu miongoni mwa wakazi wa eneo hili. Wanyhama wanaoishi katika ufuko wa ziwa hili - ni pamoja nyani, tembo, mamba, na simba - ambao wamehiofadhiwa katika mbuga wa wanyama. Eneo hilo pia ni nyumbani kwa wengi wa ndege wa kudumu na kuhamahama

Viungo vya nje

]

Imeorodheshwa katika kategoria zifuatazo:
Tuma maoni
Vidokezo na Vidokezo
Hakuna vidokezo au vidokezo vya Ziwa Edward bado. Labda uwe wewe ndiye wa kwanza kutuma habari muhimu kwa wasafiri wenzako? :)
Virunga Campsite & Backpackers

kuanzia $23

Tuzza Hotel

kuanzia $40

MARPHIE HOTEL RUKUNGIRI

kuanzia $35

Heritage Guesthouse

kuanzia $18

Kisoro Tourist Hotel

kuanzia $65

Muhabura Motel

kuanzia $29

Vitunguu vilivyopendekezwa karibu

Ona yote Ona yote
Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Queen Elizabeth National Park

The Queen Elizabeth National Park (QENP) is Uganda's most-visited game

Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Bwindi Impenetrable National Park

Bwindi Impenetrable National Park is located in southwestern Uganda in

Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Rwenzori Mountains National Park

Rwenzori Mountains National Park is a Ugandan national park and UNESCO

Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Mgahinga Gorilla National Park

Mgahinga Gorilla National Park is a national park in the far

Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Virunga Mountains

The Virunga Mountains are a chain of volcanoes in East Africa, along

Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Hifadhi ya Virunga

Hifadhi ya Virunga, iliyoita zamani Albert Park ni Hifadhi Taifa

Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Volcanoes National Park

Volcanoes National Park (French: Parc National des Volcans) lies in

Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Mount Nyamuragira

Mount Nyamuragira is an active volcano in the Virunga Mountains of the

Vivutio sawa vya watalii

Ona yote Ona yote
Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Jökulsárlón

Jökulsárlón is the best known and the largest of a number of gl

Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Lake Pukaki

Lake Pukaki is the largest of three roughly parallel alpine lakes

Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Minnewater

Minnewater or Love Lake is a lake in the center of Bruges, Belgium

Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Meiktila Lake

Lake Meiktila (Burmese: မိတ္ထီလာကန် ]) is a lake located near Meiktila

Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Dique do Tororó

O Dique do Tororó é o único manancial natural da cidade de Sa

Tazama maeneo yote yanayofanana