Zambezi (mto)

Zambezi ni kati ya mito mirefu ya Afrika ikiwa na nafasi ya nne baada ya Nile, Kongo na Niger. Ni mto mrefu wa Afrika wa kuingia Bahari Hindi. Beseni yake ina 1,570,000  km² au nusu ya mto Nile. Chanzo chake iko Zambia inapita Angola mpakani na Namibia, Botswana, Zambia na Zimbabwe kwenda Msumbiji inapofikia Bahari Hindi katika delta ya 880 km².

Angalia pia

Kwenye mwendo wa Zambezi pana maporomoko kadhaa hasa maporomoko ya Victoria Falls. Mengine ni maporomoko ya Chavuma mpakani wa Zambia na Angola halafu Ngonye Falls karibu na Sioma, Zambia ya magharibi.

Zambezi ina madaraja matano pekee kati ya chanzo na mdomo mahali pafuatapo: Chinyingi, Katima Mulilo, Victoria Falls, Chirundu na Tete.

Zambezi ni chanzo cha umeme kwa ajili ya sehemu kubwa ya Afrika ya Kusini. Umeme unatengenezwa kwa nishati ya maji huko lambo la Kariba (Zambia) na lambo la Cabora-Bassa (Msumbiji).

Tawimito

Tawimito muhimu ni Cuando, Kafue, Luangwa, Shire.

Miji muhimu mtoni

  • Mongu
  • Lukulu
  • Katima Mulilo (Namibia), Sesheke (Zambia)
  • Livingstone (Zambia), Victoria Falls (Zimbabwe)
  • Kariba
  • Songo
  • Tete

Viungo vya nje:

Watersheds of Africa: A20 Zambezi

Imeorodheshwa katika kategoria zifuatazo:
Tuma maoni
Vidokezo na Vidokezo
Hakuna vidokezo au vidokezo vya Zambezi (mto) bado. Labda uwe wewe ndiye wa kwanza kutuma habari muhimu kwa wasafiri wenzako? :)
Golden Peacock Resort Hotel

kuanzia $227

Anantara Bazaruto Island Resort and Spa

kuanzia $1142

Rio Azul Lodge

kuanzia $5000

Pestana Bazaruto

kuanzia $222

Hotel Tivoli Beira

kuanzia $85

Vip Inn Beira

kuanzia $73

Vitunguu vilivyopendekezwa karibu

Ona yote Ona yote
Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Daraja la Dona Ana

Daraja la Dona Ana ni daraja linalovuka Mto Zambezi nchini Msumbiji

Vivutio sawa vya watalii

Ona yote Ona yote
Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Canals of Amsterdam

Amsterdam, capital of the Netherlands, has more than one hundred

Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Donaukanal

The Donaukanal ('Danube Canal') is a former arm of the river Danube,

Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Fontanka River (Фонтанка)

Fontanka River (Фонтанка) ni kivutio cha watalii, moja ya Rivers

Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
River Cam

The River Cam is a tributary of the River Great Ouse in the east of

Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Griboyedov Canal

The Griboyedov Canal or Kanal Griboyedova (Russian: кана́л Гриб

Tazama maeneo yote yanayofanana