Stefano

Stefano ni mfiadini wa kwanza wa Kanisa la Yesu Kristo.

Habari zake zinapatikana katika kitabu cha Matendo ya Mitume kuanzia sura ya 6.

Myahudi mwenye kutumia zaidi lugha ya Kigiriki, ni kati ya wanaume 7 wa kwanza kuwekewa mikono na Mitume wa Yesu kwa ajili ya huduma.

Kutokana na juhudi zake, alikabiliana na chuki ya Wayahudi wenye msimamo mkali.

Kifodini chake kilitokea Yerusalemu labda mwaka 36 BK. Katika kufa alimuiga Yesu kwa kuwaombea msamaha watesi wake akamkabidhi roho yake. Maneno yake ya mwisho yalikuwa haya (Mdo 7:59-60): "Bwana Yesu, pokea roho yangu… Bwana, usiwahesabie dhambi hii."

Mhusika mkuu wa kifo chake alikuwa Farisayo jina lake Saulo, maarufu zaidi baadaye kwa jina la Mtume Paulo.

Anaheshimiwa kama mtakatifu na madhehebu yote ya Ukristo yanayokubali hadhi hiyo. Kanisa Katoliki linaadhimisha sikukuu yake tarehe 26 Desemba, wakati Waorthodoksi wanafanya hivyo tarehe 3 Agosti.

Tazama pia

  • Watakatifu wa Agano la Kale
  • Orodha ya Watakatifu Wakristo
  • Orodha ya Watakatifu Wafransisko

Viungo vya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Imeorodheshwa katika kategoria zifuatazo:
Tuma maoni
Vidokezo na Vidokezo
Liberborn
24 September 2013
The island Sveti Stefan is the private property, saying guards. The only option to visit this island (except hotel) is to have 20€ lunch.Visiting the church as public place is forbidden somewhy
Anton Mavrin
27 August 2015
There is special parking for taking photos of island. If you want good photos, make them before 2pm. After 2 pm sun will shine in your phone/camera and picture would be looking like this:
Quintein
29 September 2018
You can only visit the island as part of a guided tour. Tours start at the guard post at 11am and 2pm. The area is very strict on where you can be /swim so be mindful if traveling with a family.
Egi Gradeci
27 August 2014
One of the best beaches in Montenegro, you should visit it! The sea is great and the view is awesome!
Fatih Kuran
27 September 2015
Exceptional island. It is like a fairy tale. Unfortunately only the hotel guests of Aman hotel would enjoy this private island
Nikolett Csabai
17 June 2015
amazing, beautiful but the parking is a bit difficult and there's just a few parking space
Pakia maoni zaidi
foursquare.com
Maestral Resort & Casino

kuanzia $307

HEC Apartment

kuanzia $111

Apartments Lungo Mare

kuanzia $98

GUESTHOUSE RADJEN

kuanzia $83

Apartments Jovan

kuanzia $74

Guest House Elena

kuanzia $28

Vitunguu vilivyopendekezwa karibu

Ona yote Ona yote
Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Becicka Plaza

Becicka Plaza ni kivutio cha watalii, moja ya Beaches katika Bečići ,

Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Стар град (Будва)

Стари град у Будви (лат. -{Butua, Butoba}-) је градска тврђава у д

Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Reževići Monastery

Reževići Monastery (Serbian: Манастир Режевићи) or The Monastery of

Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Lovćen

Lovćen (Ловћен) is a mountain and national park in southwestern Monten

Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Cathedral of Saint Tryphon

The Cathedral of Saint Tryphon (Montenegrin: Katedrala Svetog

Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Kotor

Kotor (Montenegrin Cyrillic: Котор, pronounced ]; Italian: Catt

Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Tivat Airport

Tivat Airport (Montenegrin Аеродром Тиват, Aerodrom Tivat) (IATA

Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Porto Montenegro

Vivutio sawa vya watalii

Ona yote Ona yote
Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Laguna Beach, California

Laguna Beach ni mji wa Marekani katika jimbo la California. Kwa mujibu

Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Universal Orlando

The Universal Orlando Resort, commonly known as Universal Orlando, is

Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Kaprun

Kaprun is a small alpine village in the district of Zell am See in the

Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Resorts World Sentosa

Resorts World Sentosa is the first integrated resort in development

Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Atlantis, The Palm

Atlantis, The Palm ni hoteli iliyomo Palm Jumeirah mjini Dubai. Hoteli

Tazama maeneo yote yanayofanana