Popocatrpetl ni volkeno hai pia mlima mkubwa wa pili nchini Meksiko. Kwa lugha ya Kiazteki "Popocatepetl" inamaanisha "mlima unaotoa moshi". Ina kimo cha 5,462 m juu ya UB ni volkeno kubbwa ya pili katika Amerika ya Kaskazini.
Safari iliyopita ililipuka tar. 21 Desemba 1994 baada ya kukaa kimya kwa miaka 50.
It is 17,802 feet tall.