Niger (mto)

Niger ni mto mrefu wa tatu wa Afrika ikiwa na mwendo wa 4.374 km. Njia yake ni kama pinde ikianza Guinea katika nyanda za juu za Futa Djallon kuelekea kaskazini-mashariki kupitia Mali hadi Niger. Karibu na mji wa Timbuktu inageukia kuelekea mashariki, halafu mashariki-kusini kupitia Benin na Nigeria hadi kufika mdomoni wa delta yake kwenye Ghuba ya Guinea ya Atlantiki.

Niger ni mto mrefu wa tatu wa Afrika ikiwa na mwendo wa 4.374 km. Njia yake ni kama pinde ikianza Guinea katika nyanda za juu za Futa Djallon kuelekea kaskazini-mashariki kupitia Mali hadi Niger. Karibu na mji wa Timbuktu inageukia kuelekea mashariki, halafu mashariki-kusini kupitia Benin na Nigeria hadi kufika mdomoni wa delta yake kwenye Ghuba ya Guinea ya Atlantiki. Kabla ya kufikia Timbuktu (Niger) mto unapanuka kuwa na delta ya barani pia mdomo wake baharini pana delta kubwa sana.

Historia

Njia ya pinde ya mto Niger ilichanganya wataalamu wa Ulaya pamoja na Waarabu kwa karne nyingi. Waroma wa kale walifahamu mto ule mkubwa karibu na Timbuktu wakafikiri ya kwamba inaendelea kujiunga na mto Nile. Mtaalamu Mwarabu Ibn Battuta alifikiri hivyo pia. Wengine waliona itaishia kwenye mto Senegal au mto Kongo. Kuchanganyikiwa huku kulisababisha kwa karne nyingi ramani zisizoonyesha mwendo halali wa mto. Wasafiri na wataalamu wa nje hawakuelewa ya kwamba mto mkubwa ulio karibu na Timbuktu na mto mkubwa unaoingia Atlantiki kwenye Ghuba ya Guinea huko Nigeria ni mto uleule. Ni tangu 1830 tu ya kwamba msafara wa kisayansi ulitambua hali halisi.

Tawimito

  • Bani
  • Sokoto
  • Benue
  • Béli
  • Gorouol
  • Tapoa

Miji mtoni

Tazama pia

  • Mito mirefu ya Afrika
Imeorodheshwa katika kategoria zifuatazo:
Tuma maoni
Vidokezo na Vidokezo
Hakuna vidokezo au vidokezo vya Niger (mto) bado. Labda uwe wewe ndiye wa kwanza kutuma habari muhimu kwa wasafiri wenzako? :)
Protea Hotel Owerri Select

kuanzia $160

GADE PLACE HOTEL

kuanzia $85

ROYAL PARAGON HOTEL

kuanzia $77

Golden Tulip Port-Harcourt Hotel

kuanzia $160

Fullmoon Hotels

kuanzia $0

Bon Hotel Delta

kuanzia $116

Vitunguu vilivyopendekezwa karibu

Ona yote Ona yote
Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Nun River

The Nun River is a river in Nigeria. The Nun is formed when the Niger

Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Forcados River

The Forcados River is a channel in the Niger Delta, in southern

Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Oguta Lake

Oguta Lake is the largest natural lake in the Imo State of Nigeria.

Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Benin Museum

Benin Museum ni kivutio cha watalii, moja ya Museums katika Benin

Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Mount Agou

Mount Agou (earlier known as Mount Baumann) is the highest mountain in

Vivutio sawa vya watalii

Ona yote Ona yote
Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Canals of Amsterdam

Amsterdam, capital of the Netherlands, has more than one hundred

Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Donaukanal

The Donaukanal ('Danube Canal') is a former arm of the river Danube,

Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Fontanka River (Фонтанка)

Fontanka River (Фонтанка) ni kivutio cha watalii, moja ya Rivers

Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
River Cam

The River Cam is a tributary of the River Great Ouse in the east of

Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Griboyedov Canal

The Griboyedov Canal or Kanal Griboyedova (Russian: кана́л Гриб

Tazama maeneo yote yanayofanana