Mto Niagara ni mto katika Amerika ya Kaskazini. Ni mto mfupi baina ya Ziwa Erie na Ziwa Ontario mwenye urefu wa 56 km.
Mto huu umepakana na nchi Kanada (Ontario) na Marekani (New York).
Maporomoko ya Niagara (Kiing.:Niagara Falls) ni maporomoko mashuhuri ya Mto Niagara.