Msumbiji (kisiwa)

Kisiwa cha Msumbiji au kwa lugha ya Kireno "Ilha de Moçambique" ni kisiwa kidogo na pia mji kilichopo 3 km mbele ya mwambao wa Msumbiji ya kaskazini. Urefu ni 3 km na upana kati ya 500 hadi 200 m. Kisiwa ni sehemu ya mkoa wa Nampula.

Angalia pia

Leo hii mji umepanua kote kisiwani. Kuna wakazi 60,000 wanoishi katika mji mwenye sehemu mbili: mji wa mawe upande wa kaskazini na mji wa makuti upande wa kusini. Kisiwa kilikuwa mji mkuu wa Msumbiji wakati wa ukoloni wa Ureno hadi mwaka 1898 BK.

Historia

Habari za kwanza za Kisiwa cha Msubiji zimetokana na Wareno. Alipofika Vasco da Gama mwaka mwaka 1498 BK kisiwa kilikuwa mji wa Waswahili na Waarabu na kituo muhimu cha biashara ya kimataifa katika Bahari Hindi.

Mwaka 1507 Wareno walijenga kituo cha kijeshi. Jengo la kale kisiwani ni kanisa dogo la Nossa Senhora de Baluarte lililojengwa mwaka 1522 BK. Tangu mwaka 1558 hadi 1620 Wareno walijenga boma kubwa la Mtakatifu Sebastiano kwa gharama kubwa. Mawe yote yalichukuliwa kwa meli kutoka Ureno, Goa (Uhindi) na pia pwani la Msumbiji penyewe. Umuhimu wa Msumbiji machoni pa Wareno ulikuwa nafasi ya kituo chenye usalama cha safari nedu kati ya Ureno na Bara Hindi.

Kisiwa kilikua kituo kikuu cha Wareno katika Afrika ya mashariki hasa baada ya kupotea Boma la Yesu huko Mombasa. Waholanzi pia Wafaransa walishambulia kisiwa lakini walishindwa kuteka boma lenyewe.

Mwanzoni Msumbiji ilitawaliwa kama sehemu ya Uhindi ya Kireno kutoka mji mkuu wa Goa. Mwaka 1720 Msumbiji ilikuwa kama jimbo la pekee na kisiwa cha Msumbiji kikawa mji mkuu. Kisiwa kilikuwa bandari muhimu katika biashara ya watumwa kwa visiwa vya Bahari Hindi na pia hadi Brazil ya Kireno.

Mwaka 1898 mji mkuu ulihamishwa kwenda Lourenco Marques (leo Maputo). Kisiwa kilianza kurudi nyuma. Katika miaka ya 1960 daraja lilijengwa kati ya kisiwa na bara.

Idadi ya watu kisiwani imezidi. Walio wengi wanaishi bila maji au choo. Nafasi ya kila mtu ni 27,6 m² pekee.

Urithi wa dunia

Kabla ya kuhamishwa kwa mji mkuu kisiwa kilikuwa makao ya Gavana Mkuu wa Msumbiji, wa askofu, wa balozi za nchi kadhaa na wanfanyabiashara kutoka India, Ujerumani, Usiwsi, Ufaransa na Uingereza. Mabaki yao ni majengo ya kihistoria ambayo ni mfano wa pekee wa mji wa kikoloni hasa kwa sababu ujenzi mpya haukutokea baada ya kuondoka kwa makao ya serikali. UNESCO iliandikisha mji wa mawe katika orodha ya Urithi wa Dunia

Viungo vya nje

Imeorodheshwa katika kategoria zifuatazo:
Tuma maoni
Vidokezo na Vidokezo
Jonathan Carr-Harris
15 December 2016
Amazing history and culture
Felipe Silva
18 May 2013
Ilha é uma relíquia. Não vá embora sem conhecer o forte (vá com guia).
Juny Junior Atumane
13 October 2015
Bom para passear
Gulamo Momade Gulamo Issufo
Está pequena Ilha que habitamos
Pakia maoni zaidi
foursquare.com
Coral Lodge 15.41

kuanzia $473

Anantara Medjumbe Island Resort and Spa

kuanzia $1284

Avani Pemba Beach Hotel and Spa

kuanzia $115

Raphael's Hotel

kuanzia $99

CM Test Hotel - Do Not Book

kuanzia $8

Nampula Hotel by Montebelo

kuanzia $65

Vitunguu vilivyopendekezwa karibu

Ona yote Ona yote
Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Fort São Sebastião

The Fort of São Sebastião on the Island of Mozambique is the oldest c

Vivutio sawa vya watalii

Ona yote Ona yote
Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Moscow Kremlin

The Moscow Kremlin (Russian: Московский Кремль Moskovskiy Krem

Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Old Havana

Old Havana (español. La Habana Vieja) contains the core of the

Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Perito Moreno Glacier

The Perito Moreno Glacier is a glacier located in the Los Glaciares

Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Geirangerfjord

The Geiranger fjord (Geirangerfjorden) is a fjord in the Sunnmøre

Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Batalha Monastery

Mosteiro Santa Maria da Vitória, more commonly known as the Batalha

Tazama maeneo yote yanayofanana