Milima ya Uluguru

Milima ya Uluguru ni safu ya milima katika Tanzania mashariki, km 200 hivi kutoka Bahari ya Hindi. Ni sehemu ya Milima ya Tao la Mashariki (pamoja na Milima ya Taita nchini Kenya, Milima ya Upare, Milima ya Usambara, Milima ya Unguu, Milima ya Rubeho, Milima ya Ukaguru, Milima ya Udzungwa, Milima ya Uvidunda na Milima ya Mahenge).

Jina limetokana na lile la kabila la Waluguru ambao ndio wenyeji wa eneo hilo. Wakazi wote wa milimani huko ni 151,000.

Milima ya Uluguru ni makazi pekee ya spishi zaidi ya 100 ya mimea, 2 za ndege, 2 za mamalia, 4 za reptilia na 6 za amphibia.

Miinuko ya juu zaidi ni mlima Mtingire na mlima Kimhandu, yote miwili inafikia kimo cha mita 2650 juu ya usawa wa bahari.

Tazama pia

  • Orodha ya milima ya Tanzania
Imeorodheshwa katika kategoria zifuatazo:
Tuma maoni
Vidokezo na Vidokezo
Hakuna vidokezo au vidokezo vya Milima ya Uluguru bado. Labda uwe wewe ndiye wa kwanza kutuma habari muhimu kwa wasafiri wenzako? :)
The Retreat Selous Lodge

kuanzia $775

Nashera Hotel

kuanzia $96

Selous Kinga Lodge

kuanzia $268

Udzungwa Falls Lodge

kuanzia $229

Bagamoyo Service Apartment Ltd

kuanzia $60

Naam Suite Motel

kuanzia $30

Vitunguu vilivyopendekezwa karibu

Ona yote Ona yote
Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Benjamin William Mkapa Pension Tower

Mafuta House is one of the tallest buildings in Dar es Salaam,

Vivutio sawa vya watalii

Ona yote Ona yote
Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Çamlıca Hill

Çamlıca Hill (Turkish: Çamlıca Tepesi), aka Big Çamlıca Hill (Turk

Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Üetliberg

The Üetliberg (also spelled Uetliberg, pronounced Шаблон:IPA in Zür

Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Top of Mt. Takao (高尾山頂)

Top of Mt. Takao (高尾山頂) ni kivutio cha watalii, moja ya Milima

Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Gellért Hill

Gellért Hill (magyar. Gellért-hegy; Deutsch. Blocksberg; Latina. M

Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Lysá hora

Lysá hora (Czech pronunciation: ]; Polish: Łysa Góra; German: Lys

Tazama maeneo yote yanayofanana