Kanisa la Kristo Zanzibar

Kanisa la Kristo (kwa Kiingereza: Christ Church Cathedral) ni kanisa la Anglikana mjini Zanzibar lililo kati ya vivutio vya kihistoria vya mji huu.

Umbo lake linaunganisha tabia za ubunifu wa Kizungu hasa mtindo wa Kigothi na ubunifu wa Kiislamu hasa katika mapambo na umbo la madirisha. Waanglikana walipenda kuunganisha mbinu hizo katika makanisa waliyojenga katika mazingira ya Kiislamu.

Ujenzi uliongozwa na askofu Edward Steere aliyechagua mahali pa soko la watumwa lililofungwa mwaka 1873. Mwaka ule Sultani wa Zanzibar alipaswa kuitikia matishio ya serikali ya Uingereza kuachana na biashara ya watumwa katika himaya yake. Eneo la soko lilinunuliwa na Mwingereza na kutolewa kama zawadi kwa Steere aliyeanzisha hapa sherehe za ibada, kwanza katika kibanda cha muda lakini kwenye siku ya Krismasi 1873 aliweka jiwe la msingi wa kanisa.

Steere alitumia mahali pa soko hili kwa jengo jipya kama ishara ya wakati mpya. Alijaribu kuonyesha Ukristo kama dini ya uhuru na kulenga hasa kupokea watumwa katika Ukristo. Altari ilijengwa kwenye mahali ilipowahi kusimama nguzo ya kuwafunga watumwa wakati wa kuwapiga viboko. Msalaba ndani ya kanisa ulichongwa kwa ubao wa mti kutoka kijiji cha Chitambo nchini Zambia, mahali ambako David Livingstone aliwahi kuaga dunia.

Ujenzi uliendelea hadi mwaka 1879 ambako kanisa jipya lilizinduliwa rasmi kwenye sikukuu ya Krismasi.

Askofu Steere alizikwa katika kanisa baada ya kifo chake kwenye mwaka 1882.

Sasa ni kanisa kuu la dayosisi ya Zanzibar ya Kanisa la Kianglikana.

Viungo vya nje

Imeorodheshwa katika kategoria zifuatazo:
Tuma maoni
Vidokezo na Vidokezo
Hakuna vidokezo au vidokezo vya Kanisa la Kristo Zanzibar bado. Labda uwe wewe ndiye wa kwanza kutuma habari muhimu kwa wasafiri wenzako? :)
Ramani
Church, Tharia St, Zanzibar, Tanzania Pata maelekezo

Kanisa la Kristo Zanzibar kwenye Facebook

MTONI MARINE HOTEL

kuanzia $150

Zanzibar Hotel

kuanzia $70

Safari Lodge Hotel

kuanzia $50

Abla Beach Hotel & Apartments Zanzibar

kuanzia $75

The Island Town

kuanzia $34

The Swahili House

kuanzia $170

Vitunguu vilivyopendekezwa karibu

Ona yote Ona yote
Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Darajani Market

The Darajani Market (or Bazaar) is the main bazaar in Stone Town,

Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Hamamni Persian Baths

The Hamamni Persian Baths is located in a historical building of Stone

Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
House of Wonders

The House of Wonders or Palace of Wonders (in Arabic: Beit-al-Ajaib,

Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Sultan's Palace, Zanzibar

The Sultan's Palace (Arabic: بيت الساحل), Bait As-Sahel was destroye

Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Old Fort of Zanzibar

The Old Fort (Swahili: Ngome Kongwe), also known as the Arab Fort and

Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Malindi Mosque

Malindi Mosque is a mosque in Stone Town, Zanzibar, Tanzania, located

Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Old Dispensary

Old Dispensary or the Old Dispensary may refer to:

Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Bustani za Forodhani, Zanzibar

Bustani za Forodhani (pia hujulikana kwa Kiingereza kama Forodhani

Vivutio sawa vya watalii

Ona yote Ona yote
Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
St Albans Cathedral

St Albans Cathedral, sometimes called the Cathedral and Abbey Church

Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
St Paul's Cathedral

St Paul's Cathedral is an Anglican cathedral on Ludgate Hill, the

Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
York Minster

York Minster is a Gothic cathedral in York, England and is one of the

Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Coventry Cathedral

Coventry Cathedral, also known as St Michael's Cathedral, is the seat

Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
St Paul's Cathedral, Melbourne

St Paul's Cathedral, Melbourne, is the metropolitical and cathedral

Tazama maeneo yote yanayofanana