Etna

Etna (kutoka Kilatini: Aetna; kwa Kiitalia pia Mongibello; kwa Kisisili Mungibeddu au â Muntagna) ni volkeno hai wa Sicilia mashariki (Italia) kati ya miji ya Catania na Messina. Ndiyo ndefu kuliko zote za Ulaya, kwa sasa mita 3329 juu ya usawa wa bahari.

Etna inaenea katika kilometa mraba 1190 ukiwa na duara ya km 140 miguuni pake.

Etna inakadiriwa kuwa na miaka 350,000 - 500,000 na ni kati ya volkeno hai zaidi duniani, kwa kuwa haitulii karibu kamwe, lakini kwa namna yake si hatari. Lava yake inageuka baada ya miaka kadhaa kuwa nzuri sana kwa kilimo.

Mnamo Juni 2013 iliingizwa na UNESCO katika orodha ya urithi wa dunia.

Viungo vya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Imeorodheshwa katika kategoria zifuatazo:
Tuma maoni
Vidokezo na Vidokezo
Fluying ✅
4 May 2019
Best place to start your visit is Rifugio Sapienza. From there you can visit Silvestri Craters for free or there are different difficulties and prices to go up to the top.
Italia.it
16 July 2013
The European Continent’s most active volcan represents a natural, terrestrial scientific laboratory, and its vulcanic zones and intense eruptions have been observed and talked about since Antiquity.
Naoise Gaffney
17 September 2013
Check the weather forecast before going to Etna. If it's cloudy you won't be able to enjoy the great views. If it's too windy you won't be able to go up in the cable cars. Are there trips to the top?
#adrianacasavacanze
19 February 2015
Great restaurant, I had lunch many times Veneziano delicious porcini mushrooms, gathered a few kilometers from the volcano Etna, even desserts prepared with pistachio are wonderful.
Lina Kulikauskaite
19 September 2016
You feel like in another world ???? here... You are walking above the clouds... Amazing views and experiences.
Utku Alemdaroglu
23 September 2015
30€ for a cable car just for an upper view????? ıf you are really really lucky you can see all of the island from the top..
Pakia maoni zaidi
foursquare.com
Casa Vacanze Tenuta dei Cavalli sull' Etna

kuanzia $79

Hotel Corsaro

kuanzia $115

Hotel Ristorante Paradise

kuanzia $76

Hotel Villa Dorata.

kuanzia $66

Rifugio Sapienza

kuanzia $53

Croce Vallone Agrihotel

kuanzia $81

Vitunguu vilivyopendekezwa karibu

Ona yote Ona yote
Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Adranon

Adranon (Ancient Greek: Ἀδρανόν) and Adranos (Ancient Greek: Ἀδρανός

Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Fortezza del Tocco

The Fortezza del Tocco is a fort in Acireale, Sicily. It was built in

Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Castello Normanno (Paternò)

The Castello normanno ('Norman Castle') is a castle in Paternò, in

Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Alcantara (river)

The Alcantara (Sicilian: Alcàntara) is a river in Sicily. It has its

Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Castello Normanno (Aci Castello)

The Castello Normanno ('Norman Castle'), or alternatively the Castello

Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Duomo di Taormina

Il Duomo di Taormina è una chiesa medievale dedicata a San Nicola di

Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Palazzo Corvaia

Palazzo Corvaia (sometimes spelt Palazzo Corvaja) is a medieval palace

Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Ancient theatre of Taormina

The Ancient theatre of Taormina ('Teatro antico di Taormina' in

Vivutio sawa vya watalii

Ona yote Ona yote
Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Vesuvio

Vesuvio ni volkeno nchini Italia. Iko karibu na mji wa Napoli.

Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Popocatepetl

Popocatrpetl ni volkeno hai pia mlima mkubwa wa pili nchini Meksiko.

Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Hverfjall

Hverfjall (also known as Hverfell) is a tephra cone or tuff ring

Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Hengill

The Hengill (Icelandic, pronounced ]) central volcano is situated in

Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Eldfell

Eldfell is a composite volcanic cone just over 200 metres (660 ft) h

Tazama maeneo yote yanayofanana