Emirates Palace

Emirates Palace (Kiarabu: قصر الإمارات) ni hoteli ya starehe iliyopo mjini Abu Dhabi, UAE.

Ujenzi

Ilifunguliwa mwezi Novemba 2005 lakini baadhi ya mikahawa na maduka hayakuwa wazi hadi 2006. Hoteli ilijengwa na inamilikiwa na serikali ya Abu Dhabi, na kwa sasa inasimamiwa na Kempinski Group.

Gharama ya kujenga hoteli hii ilikuwa dola bilioni 3. Emirates Palace ina upana wa 850,000 m². Kuna nafasi ya kuweka magari 2,500. Kuna mabwawa mawili ya kuogelea. Hoteli hii ina marina yake pamoja na kituo cha kushusha helikopta. Kulingana na gazeti la New York Times, Emirates Palace ni hoteli ya ghali zaidi kuwahi kujengwa [1]

Vipengele

Nje

Hoteli ina miviringo kama ya mskiti takriban 114 iliyo na urefu wa mita 60.

Ndani

Vyumba vingi vimemaalizwa kwa dhahabu na marumaru. Eneo kuu la hoteli hii ina ukumbi wa marumaru pamoja na dhahabu. Ghorofa ya juu kabisa ina vyumba sita viavyotumiwa na maafisa au watawala muhimu wanaotembelea UAE. Hoteli pia ina ukumbi mkubwa wa mkutano.

Vyumba na bei zake

Kwa jumla, hoteli ina vyumba 302 na vyumba vya waheshimiwa 92. Vilevile, hoteli hii ina vyumba vingine 16 kwenye ghorofa ya sita na saba. Vyumba 22 vimetengewa wakuu wa nchi na wageni wao. Gharama ya kulala huanzia $400 kwa usiku mmoja kwenye Coral Room; na The Palace Grand Suite ni ghali zaidi - $11,500 per usiku.

Viungo vya Nje

Imeorodheshwa katika kategoria zifuatazo:
Tuma maoni
Vidokezo na Vidokezo
Visit Abu Dhabi
8 October 2013
One of the world’s most luxurious hotels, with a private beach and 100 hectares of gardens and surroundings. Close to Abu Dhabi Corniche, Marina Mall and Heritage village. http://bit.ly/17iGsan
Feras
3 January 2015
By far the best place to stay at when in Abu Dhabi. The beach side shisha place is very nice when the weather is pleasant. The italian restaurant is not to miss aswell. Enjoy!
Ted P.
11 October 2012
The only Hotel in the capital with WiFi in the vehicles!
Y. Ahmed
17 January 2015
A Presidential place to be. One of the tourist spots in Abu Dhabi. Very spacious and big. Great staff and reception. Great beach on the back. Very clean and calm
Khaled ☤
30 October 2015
Truly a palace! Everything is so elegant inside where the golden color mostly prevails. They have lovely gardens outside but access is restricted to in-house guests only not visitors!
Visit Abu Dhabi
6 October 2013
An iconic Abu Dhabi landmark, blending Arabian spendour with the latest technology to create a 5-star experience like no other. Close to Abu Dhabi Corniche and Marina Mall. http://bit.ly/14qBNnd
Pakia maoni zaidi
foursquare.com
8.9/10
252,022 watu wamekuwa hapa
Ramani
0.5km from Corniche Road West - Abu Dhabi - United Arab Emirates Pata maelekezo
Mon-Sun 24 Hours

Emirates Palace Hotel kwenye Foursquare

Emirates Palace kwenye Facebook

Dusit Thani Residences Abu Dhabi

kuanzia $129

Dusit Thani Abu Dhabi Hotel

kuanzia $76

Dusit Thani Abu Dhabi Apartments

kuanzia $0

Centro Al Manhal

kuanzia $55

Al Jazira Club Hotel

kuanzia $30

AG Hotel

kuanzia $66

Vitunguu vilivyopendekezwa karibu

Ona yote Ona yote
Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Khalidiyah Mall

Khalidiyah Mall is a shopping mall located in Abu Dhabi, the capital

Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Qasr al-Hosn

The Qasr al-Hosn (Arabic: قصر الحصن‎), is the oldest stone building

Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Abu Dhabi Mall

Abu Dhabi Mall is currently the largest mall in the Abu Dhabi Emirate,

Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Abu Dhabi Vegetable Market

The Abu Dhabi Vegetable Market (aka Al Mina Fruit & Vegetable

Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Louvre Abu Dhabi

The Louvre Abu Dhabi is a planned museum, to be located in Abu Dhabi,

Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Guggenheim Abu Dhabi

The Guggenheim Abu Dhabi is a planned museum, to be located in Abu

Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Saadiyat Island

Saadiyat Island (In Arabic: جزيرة السعديات meaning 'Island of H

Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Sheikh Zayed Mosque

Sheikh Zayed Mosque (Arabic: مسجد الشيخ زايد) in Abu Dhabi is the

Vivutio sawa vya watalii

Ona yote Ona yote
Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Palacios nazaríes

Les palais nasrides constituent un ensemble palatin destiné à la vie d

Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Dolmabahçe Palace

The Dolmabahçe Palace (Turkish: Dolmabahçe Sarayı) in Istanbul, Tu

Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Monplaisir Palace

The Monplaisir Palace is part of the Peterhof Palace Complex, Russia.

Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Laxenburg castles

Laxenburg castles are imperial palaces and castles outside Vienna, in

Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Quinta da Regaleira

Quinta da Regaleira is a quinta located near the historic centre of

Tazama maeneo yote yanayofanana