Fountains in Dubai

Dubai Fountain

8.0/10

Dubai Fountain ni kivutio kikuu mtaani Burj Downtown Khalifa, iliyo mbele ya Burj Khalifa. Emaar, kampuni iliyosimamia ujenzi wa Burj Khalifa, na Downtown Burj Khalifa ilitangaza mpango wake wa kujenga chemchemi za Dubai mnamo Juni 2008, iliyo na gharama ya dola milioni 800. Chemchemi ya Dubai ni moja ya chemchemi refu zaidi kote duniani. Inashinda chemchemi ya Bellagio mjini Las Vegas kwa urefu.Chemchemi ya Dubai 275 m (902.2 ft) ambayo ni zaidi ya urefu wa viwanja viwili vya mpira. Ni 25% kubwa kuliko chemchemi ya Bellagio mjini Las Vegas. Chemchemi ya Dubai inaweza kuonekana kilomita 200 kutoka angani ikiwa una mwangaza wa moja kwa moja. Chemchemi hii inaweza kurusha maji wa urefu wa mita 150 ambayo ni sawa na ghorofa 50 au yenye kuosha madirisha khumusi ya urefu wa jengo la Burj Khalifa.

Taratibu

Chemchemi ya Dubai, iliyotengenezwa kwa Wet Design, inaweza kunyunyiza galoni 22,000 (lita 83,000) ya maji katika hewa wakati wowote. Zaidi ya taa 6,600 na rangi za usayaria 25 zimewekwa. Chemchemi hii hurusha maji katika michanganyiko na ruwaza mbalimbali. Mwanga wake unaweza kuonekana kwa zaidi maili 20, nakuifanya mahali penye mwangaza zaidi kote duniani. Chemchemi hii inaziba pengo kati ya Dubai Mall, The Palace Hotel, Souk Al Bahar na The Adress Downtown Burj Dubai.

Burudani

Burudani za chemchemi huanza saa 6 jioni pamoja na huendelea kila baada ya nusu saa hadi saa 8 jioni. Kati ya saa 8 na 11 jioni, burudani huendelea kila dakika 20. Burudani ni kama:

  • "Baba Yetu", wimbo wa Kiswahili kutokana na mchezo wa kompyuta "Civilization IV",iliyotungwa na Christopher Tin
  • "Con te partirò" ( "Time to Say Goodbye") na Andrea Bocelli na Sarah Brightman.
  • "Nyuma thana", wimbo wa Kihindi kutoka filamu ya Bhool Bhulaiyaa.
  • "Sama Dubai-an Emirati", nyibo kutoka kwa Emaar Properties inayosifu uongozi wa Sheikh Mohammed.
  • "Shik Shak shok", nyimbo ya Kiarabu iliyoimbwa na Hassan Abou El Seoud.
  • "Waves" ( "Amvaj") - Bijan Mortazavi.
  • "Bassbor Al Fourgakom" - Hussain Al Jassmi.

Pia, chemchemi ina uwezo wa kutoa maji bila ya muziki.

Majaribio

Majaribio ya chemchemi ilianza Februari na Aprili ya 2009 na chemchemi mara ilifunguliwa rasmi tarehe 8 Mei 2009 pamoja na ufunguzi rasmi wa Dubai Mall

Angalia Pia

  • Downtown Dubai Burj
  • Orodha ya miradi maendeleo katika Dubai

Viungo vya nje

Categories:
Post a comment
Tips & Hints
Arrange By:
Maometto Aldrees
13 August 2013
Amazing fountain
Noura ♌️
20 September 2013
♡♡♡♥♥♥ jmal ....
Load more comments
foursquare.com
Location
Map
Address

0.3km from Souk Al Bahar Bridge - Dubai - Falme za Kiarabu

Get directions
Open hours
Mon-Sun 6:00 PM–11:00 PM
References

The Dubai Fountain (نافورة دبي) on Foursquare

Dubai Fountain on Facebook

Hotels nearby

See all hotels See all
The Country Club Hotel

starting $38

Hilton Garden Inn Dubai Al Mina

starting $54

Sea View Hotel

starting $36

OYO 109 Smana Hotel Al Raffa

starting $37

Smana Hotel Al Raffa

starting $58

Hilton Garden Inn Dubai Al Mina

starting $66

Recommended sights nearby

See all See all
Add to wishlist
I've been here
Visited
Burj Khalifa
Falme za Kiarabu

Burj Dubai (Kiarabu برج دبي‎ - Mnara wa Dubai) ni jengo kubwa la magh

Add to wishlist
I've been here
Visited
Millennium Tower (Dubai)
Falme za Kiarabu

Millennium Tower (Dubai) ni kivutio cha utalii katika Dubai , Falme za

Add to wishlist
I've been here
Visited
Emirates Office Tower
Falme za Kiarabu

Emirates Office Tower ni kivutio cha utalii katika Dubai , Falme za

Add to wishlist
I've been here
Visited
Safa Park
Falme za Kiarabu

Safa Park ni kivutio cha utalii katika Dubai , Falme za Kiarabu

Add to wishlist
I've been here
Visited
Dubai Zoo
Falme za Kiarabu

Dubai Zoo ni kivutio cha utalii katika Dubai , Falme za Kiarabu

Add to wishlist
I've been here
Visited
Sama Tower
Falme za Kiarabu

Sama Tower ni kivutio cha utalii katika Dubai , Falme za Kiarabu

Add to wishlist
I've been here
Visited
Jumeirah Beach
Falme za Kiarabu

Jumeirah Beach ni kivutio cha utalii katika Dubai , Falme za Kiarabu

Add to wishlist
I've been here
Visited
Rose Tower
Falme za Kiarabu

Rose Tower ni kivutio cha utalii katika Dubai , Falme za Kiarabu

Similar tourist attractions

See all See all
Add to wishlist
I've been here
Visited
Fontana dei Quattro Fiumi
Italia

Fontana dei Quattro Fiumi ni kivutio cha utalii katika Mji wa Roma ,

Add to wishlist
I've been here
Visited
Jet d'Eau
Uswisi

Jet d'Eau ni kivutio cha utalii katika Geneva , Uswisi

Add to wishlist
I've been here
Visited
Magic Fountain of Montjuïc
Hispania

Magic Fountain of Montjuïc ni kivutio cha utalii katika Barcelona ,

Add to wishlist
I've been here
Visited
Buckingham Fountain
Muungano wa Nchi za Amerika

Buckingham Fountain ni kivutio cha utalii katika Chicago , Muungano wa

Add to wishlist
I've been here
Visited
Zerkalʹnaya struya
Ukraine

Zerkalʹnaya struya ni kivutio cha utalii katika Kharkiv , Ukraine

See all similar places