Bustani za Forodhani, Zanzibar

Bustani za Forodhani (pia hujulikana kwa Kiingereza kama Forodhani Gardens, Jubilee Gardens na zaidi hivi karibuni kama Forodhani Park) ni bustani ndogo kwenye Mji Mkongwe wa Zanzibar, Tanzania.

Bustani hizo ziko kando ya mtaa wa Mizingani unaopita ukingo wa bahari wa Mji Mkongwe, mbele tu ya majengo ya Jumba la Maajabu (House of Wonders) na Ngome Kongwe (Old Fort). Bustani hiyo ilianzishwa mwaka 1936 na kufunguliwa rasmi tarehe 21 Desemba 1936 kwa maadhimisho ya jubilii ya miaka 25 za utawala wa Sultani Khalifa bin Harub wa Zanzibar (silver jubilee) na pia kwa heshima ya marehemu mfalme George V wa Uingereza aliyewahi kutimiza miaka 25 ya utawala kwenye mwaka 1935. Ilijulikana kama Jubilee Gardens ikabadilshwa jina baada ya mapinduzi ya Zanzibar ya 1964.

Shughuli katika bustani

Bustani zina shughuli nyingi haswa baada ya jua kuchwa, wakati watalii na wenyeji vilevile hukusanyika kwenye soko maarufu la barabara la chakula katika uwanja mkuu, kula chakula cha jioni wakifurahia vyakula vitamu vya Waswahili na Wazanzibar kama vile dagaa wa baharini, samamo, mihogo na viazi vitamu. Mnamo 31 Julai 2009, hafla ya kuvunja ardhi ilifanywa na Aga Khan kuanzisha bustani iliyofufuliwa. Ilirekebishwa na Agha Khan Trust for Culture (AKTC) kwa gharama ya $ milioni 3 (Shilingi bilioni 3.9) kutoka kwa makadirio ya awali ya $ milioni 2.4 (zaidi ya Shilingi bilioni 3).

Ukarabati huo wa juu ulihusisha urejeshwaji wa barabara za waenda kwa miguu, mandhari, uboreshaji wa miundombinu, ikijumuisha taa, mifereji ya taka na vifaa vya uraia, na ukarabati wa ukuta wa bahari ulio mbele ya bustani.

Imeorodheshwa katika kategoria zifuatazo:
Tuma maoni
Vidokezo na Vidokezo
Werther Veulemans
14 October 2019
Great for street food, try the skewers! Slowly barbecued and marinated in local spices! Always great to discover new, juicy and tasty flavors!
Fatima Al Hashimi
26 December 2017
Night market street food & chatting with the locals. Amazing experience. Must try the Zanzibar pizza.
Camilla Quottrup
10 October 2018
Had great shawarma with chicken here. And went to cafe Foro for a spice tea there. Really nice
Georgia Popplewell
16 August 2011
Impromptu open-air food court set up each evening in Forodhani Park—Stone Town's social hub–offers a wide variety of grilled seafood and accompaniments.
Tango ????????‍♂️
3 January 2013
Tasty grilled seafood, starts at 18:00. Fresh juices. Good place for relax and meditations. You can find Bob Marleys cigs- if needed.:)
Mohamed Nuh
23 August 2015
Café Foro... best cappuccino in town... don't forget to taste the Sticky Date cake!
Pakia maoni zaidi
foursquare.com
7.4/10
1,604 watu wamekuwa hapa
Ramani
R5QQ+QC Zanzibar, Tanzania Pata maelekezo
Thu 11:00 AM–Noon
Fri 3:00 PM–11:00 PM
Sat 11:00 AM–Noon
Sun 10:00 AM–11:00 PM
Mon 3:00 PM–11:00 PM
Tue 6:00 PM–10:00 PM

Forodhani Park kwenye Foursquare

Bustani za Forodhani, Zanzibar kwenye Facebook

MTONI MARINE HOTEL

kuanzia $150

Zanzibar Hotel

kuanzia $70

Safari Lodge Hotel

kuanzia $50

Abla Beach Hotel & Apartments Zanzibar

kuanzia $75

The Island Town

kuanzia $34

The Swahili House

kuanzia $170

Vitunguu vilivyopendekezwa karibu

Ona yote Ona yote
Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Old Fort of Zanzibar

The Old Fort (Swahili: Ngome Kongwe), also known as the Arab Fort and

Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
House of Wonders

The House of Wonders or Palace of Wonders (in Arabic: Beit-al-Ajaib,

Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Sultan's Palace, Zanzibar

The Sultan's Palace (Arabic: بيت الساحل), Bait As-Sahel was destroye

Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
St. Joseph's Cathedral, Zanzibar

The Roman Catholic cathedral of St. Joseph is one of the most

Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Hamamni Persian Baths

The Hamamni Persian Baths is located in a historical building of Stone

Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Malindi Mosque

Malindi Mosque is a mosque in Stone Town, Zanzibar, Tanzania, located

Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Kanisa la Kristo Zanzibar

Kanisa la Kristo (kwa Kiingereza: Christ Church Cathedral) ni kanisa

Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Old Dispensary

Old Dispensary or the Old Dispensary may refer to:

Vivutio sawa vya watalii

Ona yote Ona yote
Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Butchart Gardens

The Butchart Gardens is a group of floral display gardens in Brentwood

Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Giardini Pubblici Indro Montanelli

Giardini Pubblici Indro Montanelli ('Indro Montanelli Public

Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Archbishop's Garden

Archbishop's Garden (Hungarian:Érsekkert or colloquially Népkert) is a

Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Dubai Miracle Garden

The Dubai Miracle Garden (In Arabic: دبي معجزة حديقة) is a flower gar

Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Kubota Garden

Kubota Garden is a 20 acre (81,000 m²) Japanese garden in the Rainier

Tazama maeneo yote yanayofanana