Basilika la Mt. Paulo

Basilika la Kipapa la Mt. Paulo Nje ya Kuta ni mojawapo kati ya mabasilika ya zamani na muhimu zaidi ya Roma pamoja na yale ya Mt. Yohane huko Laterano, Mt. Petro huko Vatikano na Mt. Maria huko Eskwilino.

Basilika liko katika eneo la Italia, lakini Ukulu Mtakatifu unalimiliki kabisakama maeneo ya balozi za nchi ya kigeni.

Basilika lilianzishwa na kaisari Konstantino Mkuu juu ya mahali (cella memoriae) alipozikwa Mtume Paulo baada ya kukatwa kichwa nje ya ngome ya jiji.

Baada ya mabadiliko mengi, lilijengwa upya katika karne ya 19 kwa sababu lilikuwa limeteketezwa na moto. Vipimo vyake ni mita 131.66 kwa 65 kwa 29.70, hivyo ni kanisa la pili kwa ukubwa mjini Roma.

Marejeo

  • Weitzmann, Kurt, ed., Age of spirituality: late antique and early Christian art, third to seventh century, no. 439-440, 1979, Metropolitan Museum of Art, New York, ISBN 9780870991790
  • Hinze-Bohlen, Brigitte. Kunst & Architektur-ROM. Cologne: Könemann. 
  • Rendina, Claudio (2000). Enciclopedia di Roma. Newton & Compton, 867–868. 
  • Marina Docci, San Paolo fuori le mura: Dalle origini alla basilica delle origini (Roma: Gangemi Editore 2006).

Viungo vya nje

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Imeorodheshwa katika kategoria zifuatazo:
Tuma maoni
Vidokezo na Vidokezo
Ravi Mendis
4 June 2016
A gem! Excellent if you want to escape the stress of queues and mad rush of tourists
Thiago Amorim
31 July 2012
Benedictine monks. Vespers in the end of afternoon. McDonalds and McCafe in front of Basilic. Subway station. Wonderful. St. Paul's tomb.
Leo Pérez Ramos
31 March 2019
Una de las más hermosas basílicas qué conocí en Italia, se le dice extramuros porque aunque pertenece al Vaticano se encuentra fuera de su extensión territorial, es gigantesca e impecable al 100%
Fluying ✅
2 October 2022
Normalmente fuori dai sentieri battuti, questa basilica è davvero bella. È il luogo in cui fu mozzata la testa di San Paolo.
Romasulweb.com
23 June 2014
Nel chiostro Le Cour studiò un esempio di "triplice cinta sacra" e lo paragonò con altri presenti sulle lastre del Partenone e dell'Eretteo di Atene. Il simbolo è collegato al mito di Atlantide.
Pedro Huerta
23 August 2014
La más bella basílica romana dedicada al que podemos considerar el "fundador del cristianismo como religión"
Pakia maoni zaidi
foursquare.com
Hotel Best Roma

kuanzia $463

Hotel Infinito

kuanzia $75

Daniela Hotel

kuanzia $66

Espana Hotel

kuanzia $88

Shiva B&B

kuanzia $64

B&B Manzoni Holidays

kuanzia $94

Vitunguu vilivyopendekezwa karibu

Ona yote Ona yote
Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Protestant Cemetery, Rome

The Protestant Cemetery (italiano. Cimitero protestante), officially

Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Pyramid of Cestius

The Pyramid of Cestius (in Italian, Piramide di Caio Cestio or

Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Porta San Paolo

The Porta San Paolo is one of the southern gates in the 3rd-century

Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Church of Domine Quo Vadis

The Church of St Mary in Palmis (italiano. Chiesa di Santa Maria delle

Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Aurelian Walls

The Aurelian Walls (italiano. Mura aureliane) is a line of city walls

Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Porta San Sebastiano

Porta San Sebastiano is the modern name for the ancient Porta Appia, a

Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Baths of Caracalla

The Baths of Caracalla were Roman public baths, or thermae, built in

Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Esposizione Universale Roma

The Esposizione Universale Roma (EUR, originally called E42) is a

Vivutio sawa vya watalii

Ona yote Ona yote
Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Basilica of St. Sernin, Toulouse

The Basilica of St. Sernin in Toulouse, France, is the former abbey

Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Basilica of Notre-Dame de Fourvière

The Basilica of Notre-Dame de Fourvière is a minor basilica in Lyon.

Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Florence Baptistery

The Florence Baptistery or Battistero di San Giovanni (Baptistery of

Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Basilika kuu la Bikira Maria

Basilika kuu la Bikira Maria katika mtaa wa Esquilino jijini Roma ni

Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Euphrasian Basilica

The Euphrasian Basilica (Croatian: Eufrazijeva bazilika, Italian:

Tazama maeneo yote yanayofanana