Krak des Chevaliers (tamka: krak de she-va-lyee; kwa Kiarabu: قلعة الحصن Qalaat al-Husn) ni ngome ya kihistoria nchini Syria ambayo imeandikishwa katika orodha ya urithi wa dunia. Inapatikana juu ya mlima kwa kimo cha mita 600, takriban katikati ya m... Read further