Msikiti wa Umawiya (Kiarabu: جامع بني أمية jami'a bani umaya) ni msikiti mkuu mjini Dameski katika Syria. Ni moja kati ya misikiti ya kale kabisa ilijengwa kati ya 695 hadi 705 BK. Kabla ya ujenzi wa msikiti mahali palikuwa na kanisa la Mt. Yohane Mb... Read further
License: Attribution License