Bosporus

Bosporus (Kituruki: Bogaziçi) ni mlango wa bahari katika Uturuki unaounganisha Bahari Nyeusi na Bahari ya Marmara. Mlango huu una urefu wa 32 km na sehemu nyembamba ni 640 m. Kina cha maji hufikia 36-124 m.

]] Mji wa Istanbul uko kwenye mwanzo wa Bosporus upande wa Bahari ya Marmara.

Kuna madaraja mawili ya kuvuka maji:

  • daraja la Bogaziçi limejengwa 1973 kwa urefu wa 1074 m.
  • daraja la Fatih Sultan Mehmed limejengwa 1988 kwa urefu wa 1090 m.

Ujenzi wa handaki ya reli chini ya bahari ulianza mwaka 2005.

Tangu 1936 mkataba wa Montreux umetawala haki za matumizi kwa meli za mataifa yote katika Borporus. Nchi zinazopakana na baharii nyeusi zinategemea njia hiyo kama vile Urusi, Ukraine, Bulgaria na Romania.

Imeorodheshwa katika kategoria zifuatazo:
Tuma maoni
Vidokezo na Vidokezo
Otel.com
9 January 2014
The Bosphorus lies between two continents: Asia and Europe. If you want to see the beautiful mansions along the bosphorus, you could take a boat tour along the strait.
Atakan Aksoy
30 December 2018
thebosphorus
Farinaz ????????
17 March 2015
Nice place for nightlife . Attractive bridge at night and nice view at day invite u to walking around.
Filmsquare
31 October 2013
James Bond interrogates Tatiana Romanova about the LEKTOR while crossing the Bosphorus in From Russia with Love (1963).
Ahmad Alfilimbany
20 July 2015
Amazing view! One of the best places to be in Istanbul..
Gaye Erol
30 October 2013
Dünyanın en güzel doğa harikalarından biri, anlatılmaz, yaşanır.. One of the world's best landscapes of all, you can live but not tell..
Pakia maoni zaidi
foursquare.com
The Grand Tarabya Hotel

kuanzia $0

The Grand Tarabya Hotel

kuanzia $295

Park Inn by Radisson Kavacik Istanbul Asia

kuanzia $56

Bosphorus Konak

kuanzia $257

The Central Palace Bosphorus Tarabya

kuanzia $157

Fuat Pasa Yalisi - Special Category Bosphorus

kuanzia $68

Vitunguu vilivyopendekezwa karibu

Ona yote Ona yote
Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Khedive Palace

The Khedive Palace (Turkish: Hıdiv Kasrı) or Çubuklu Palace, Çu

Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Fatih Sultan Mehmet Bridge

The Fatih Sultan Mehmet Bridge, also known as the Second Bosphorus

Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Rumelihisarı

Rumelihisarı (Rumelian Castle) is a fortress located in Istanbul,

Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Anadoluhisarı

Anadoluhisarı (Anatolian Castle) is a fortress located in Istanbul,

Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Küçüksu Palace

Küçüksu Palace or Küçüksu Pavilion, aka Göksu Pavilion, (Turki

Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Joshua's Hill

Joshua's Hill (Türkçe. Yuşa Tepesi or Hazreti Yuşa Tepesi), a hill loc

Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Adile Sultan Palace

Adile Sultan Palace is a former royal residence, which was used later

Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Yoros Castle

Yoros Castle (Türkçe. Yoros kalesi) is a ruined castle at the c

Vivutio sawa vya watalii

Ona yote Ona yote
Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Corinth Canal

The Corinth Canal (Greek: Διώρυγα της Κορίνθου) is a canal that connec

Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Mlango wa Gibraltar

Mlango wa Gibraltar ni mlango wa bahari kati ya Moroko na Hispania.

Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Avacha Bay

Avacha Bay (Russian: Авачинская губа, Авачинская бу

Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Saimaa Canal

The Saimaa Canal (suomi. Saimaan kanava; svenska. Saima kanal;

Ongeza kwenye orodha ya matamanio
Nimekuwa hapa
Walitembelewa
Lim (Croatia)

The Lim bay and valley is a peculiar geographic feature found near

Tazama maeneo yote yanayofanana